Chorus
nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege ruka juu, ruka juu... I'm gonna fly Verse 1
kama unadhani ni utani
jamani njoo nikupe habari
vile nilitendwa na kuchekwa
by people I call my friends
clearly I do recall
when it was all for one
or was it one for all
I don't know but it's no more
(ruka juu...) Chorus
nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege Verse 2
sasa mambo ya maupingoni
watu wote wamekusaliti
na sijui kwa nini nikawaita marafiki
walinicheka,
navyosema,
sitoweza,
kikulacho ki nguoni mwako
clearly I do recall
when it was all for one
or was it one for all
I don't know but it's no more
(ruka juu...) Chorus
nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege Verse 3
fly so high
till you reach for the sky
fly so high
don't you ever look behind fly so high
till you reach for the sky
fly so high
don't you ever look behind acha tu waseme
lakini wajue kwamba wewe
unasonga mbele
ukipepea kama ndege acha tu waseme
lakini wajue kwamba wewe
unasonga mbele
ukipepea kama ndege acha tu waseme
lakini wajue kwamba wewe
unasonga mbele
ukipepea kama ndege Chorus
nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege nimeamua
nikianguka
nitainuka na kupeperuka
nitapepea kama ndege