Chorus nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege ruka juu, ruka juu... I'm gonna fly Verse 1 kama unadhani ni utani jamani njoo nikupe habari vile nilitendwa na kuchekwa by people I call my friends clearly I do recall when it was all for one or was it one for all I don't know but it's no more (ruka juu...) Chorus nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege Verse 2 sasa mambo ya maupingoni watu wote wamekusaliti na sijui kwa nini nikawaita marafiki walinicheka, navyosema, sitoweza, kikulacho ki nguoni mwako clearly I do recall when it was all for one or was it one for all I don't know but it's no more (ruka juu...) Chorus nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege Verse 3 fly so high till you reach for the sky fly so high don't you ever look behind fly so high till you reach for the sky fly so high don't you ever look behind acha tu waseme lakini wajue kwamba wewe unasonga mbele ukipepea kama ndege acha tu waseme lakini wajue kwamba wewe unasonga mbele ukipepea kama ndege acha tu waseme lakini wajue kwamba wewe unasonga mbele ukipepea kama ndege Chorus nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege nimeamua nikianguka nitainuka na kupeperuka nitapepea kama ndege