[Verse 1]
Take time ku-decipher the verse
Ukishikilia za past, utapata ulipa**
Kwa sababu si hu-bust hizi rhyme ma-idhaa
Kesho ikifika tuko on to the next one
All the rest wanataka kuwa best ones
Bado ninasonga na hata mi sija-rest once
Ka kila mtu ana-claim number one
Nipeeni number two alafu mi niplan coup
Run na ma-troops tuki-stomp kwenye boots
Twenty one gun salute tuki-loop kwenye fruits
Gather ma-point, ka ku-shoot kwenye hoops
Peana mafunzo ka ku-look kwenye books
Mistari ni kibao message in-between
Natumia 8-4-4 kuandika sweet 16s
Fake professors prophesy ma-prophecy
The main connectors who decide the currency
Ku-survive CBD na cost ya livity
Kutembea VCT na positivity
Imebidi kuegemea Holy Trinity
Sababu seeds z'memea zinapingana divinity
Emcee fanya kazi uwajibike
Game sio fame na ku-fake utajirike
Nazileta kama zama za kale
Na rhyme zinazojenga kama mawe za quarry
[Verse 2]
Size tricky bado wanadai bikini
Eti ni video so onyesha thighs vividly
Shaky leggy na kibeti na ma dready
Eti ni club song bamba wenye wamebleki
Na ipi ndio definition ya realness?
Kwa EP uko na fiction na business
Lazima nirap siasa ndio ngoma iwe real?
Au nibonge ju ya rasa ndio ngoma mui-feel?
Na-feel kitu real ni kitu iko deep down in your heart
Ukirap ni kama ume-bleed
Naku-feed hizi seeds za mafikra
Ku-plant ideas akilini ndio u-think twice
Inception to bring forth a resurrection
You need GPS 'cause you're losing the direction
I mean, the game is nice and all
But everybody that I meet is either trifling, or
Behaving like the industry owes you a nicer job
Or better yet, a Ferrari with the sliding doors
Hold up, pause!
What you think we're rapping for?
To make you throw your hands in the air and dance along
That's so wrong! Kwani hii ni jam session?
Kuna wasee hawako sure kama Man Njoro (haha!)
Hii si hobby ni biz
Style jo ni nyingi ka uta-copy ji-please
[Verse 3]
Many hu-come na many hu-go
Been a long time coming now I'm ready to blow
Ku-do this been a few years, tuki-do this wana-do less
Huwezi boo this iko too blessed, so move it uko clueless
No stress hebu watch tuli-make moves
Mic cordless juu ya stage tuki-break moves
Kalimani I'm the squint-eyed beast
On these beats I feast
When I freestyle... freeze!
Twende Next Level, produced by Level Next
Representing R.I.F.T yo, united kama red devils
Ma-vegetable ku-mess table
Wamesahau wana-dine na ma-carnivores
Hii ni kazi sir Jah ashani-bless
Hakuna haja ya faraja ma-rapper ni less
Nakuru ndio place utatupata
Ama ukanyangwe chini na ma-label za Bata