[Verse 1] Take time ku-decipher the verse Ukishikilia za past, utapata ulipa** Kwa sababu si hu-bust hizi rhyme ma-idhaa Kesho ikifika tuko on to the next one All the rest wanataka kuwa best ones Bado ninasonga na hata mi sija-rest once Ka kila mtu ana-claim number one Nipeeni number two alafu mi niplan coup Run na ma-troops tuki-stomp kwenye boots Twenty one gun salute tuki-loop kwenye fruits Gather ma-point, ka ku-shoot kwenye hoops Peana mafunzo ka ku-look kwenye books Mistari ni kibao message in-between Natumia 8-4-4 kuandika sweet 16s Fake professors prophesy ma-prophecy The main connectors who decide the currency Ku-survive CBD na cost ya livity Kutembea VCT na positivity Imebidi kuegemea Holy Trinity Sababu seeds z'memea zinapingana divinity Emcee fanya kazi uwajibike Game sio fame na ku-fake utajirike Nazileta kama zama za kale Na rhyme zinazojenga kama mawe za quarry [Verse 2] Size tricky bado wanadai bikini Eti ni video so onyesha thighs vividly Shaky leggy na kibeti na ma dready Eti ni club song bamba wenye wamebleki Na ipi ndio definition ya realness? Kwa EP uko na fiction na business Lazima nirap siasa ndio ngoma iwe real? Au nibonge ju ya rasa ndio ngoma mui-feel? Na-feel kitu real ni kitu iko deep down in your heart Ukirap ni kama ume-bleed Naku-feed hizi seeds za mafikra Ku-plant ideas akilini ndio u-think twice Inception to bring forth a resurrection You need GPS 'cause you're losing the direction I mean, the game is nice and all But everybody that I meet is either trifling, or Behaving like the industry owes you a nicer job Or better yet, a Ferrari with the sliding doors Hold up, pause! What you think we're rapping for? To make you throw your hands in the air and dance along That's so wrong! Kwani hii ni jam session? Kuna wasee hawako sure kama Man Njoro (haha!) Hii si hobby ni biz Style jo ni nyingi ka uta-copy ji-please [Verse 3] Many hu-come na many hu-go Been a long time coming now I'm ready to blow Ku-do this been a few years, tuki-do this wana-do less Huwezi boo this iko too blessed, so move it uko clueless No stress hebu watch tuli-make moves Mic cordless juu ya stage tuki-break moves Kalimani I'm the squint-eyed beast On these beats I feast When I freestyle... freeze! Twende Next Level, produced by Level Next Representing R.I.F.T yo, united kama red devils Ma-vegetable ku-mess table Wamesahau wana-dine na ma-carnivores Hii ni kazi sir Jah ashani-bless Hakuna haja ya faraja ma-rapper ni less Nakuru ndio place utatupata Ama ukanyangwe chini na ma-label za Bata