shamma we ni jehovah dear
umenibeba juu halleluyah
umenijenga juu ya mwamba aaah
mungu umeja wema aah na mapendo eeh
nimeona uzuri wako ooooooh
nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli
wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah
umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh
nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah
na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh
nitalinda moyo wangu uuuh ukufuateee eeeeeh