Godwill Babette - Umenibeba lyrics

Published

0 2923 0

Godwill Babette - Umenibeba lyrics

shamma we ni jehovah dear umenibeba juu halleluyah umenijenga juu ya mwamba aaah mungu umeja wema aah na mapendo eeh nimeona uzuri wako ooooooh nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi tena bado unanizingatia na kunipa tumaini nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh nitalinda moyo wangu uuuh ukufuateee eeeeeh