[Intro: Cloudy 9 & Mkwawa]
Uprise Music (jingle)
Waaaoooh!
Dupy
Shout out to Dupy mayne
IBOX
"Icebox Music"
[Bridge: Mkwawa]
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie
Wuh, Cloudy 9
[Hook: Cloudy 9]
Najua umependeza
Upo tayari hata kucheza
Shika camera piga picha
Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie najua umependeza
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie usijali wakikubeza
[Verse 1: Cloudy 9]
Jipige picha ukishajua umependeza
Weka pozi tabasamu na usijali wakikubeza
Wanasema unauza sura mbana sasa hawanunui
Au bei ni ghali sio rahisi na pia hawajui
Au ni wivu tuu hawapendi kwenda na wakati
Wakati unawapita hawana jipya zaidi ya kuwa na chuki
Waaooh, mi nadhani sio sawa
Mitindo kama hii masnitch mnapagawa
Take a selfie in the club right now
On the instagram facebook I wanna see you smile
Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends
You can tag me too then we can be friends
[Hook: Cloudy 9]
Najua umependeza
Upo tayari hata kucheza
Shika camera piga picha
Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie najua umependeza
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie usijali wakikubeza
[Verse 2: Cloudy 9]
Grab your cellphone then take a selfie
Snap one, snap two, I know you look s**y
Pretty girls going crazy when they see my 6 pack
Haters come through cuz they know am so famous
Google + I gotta circles in my photos
HD pix album like models
Follow me twitter If you wanna, you can DM
Cloudy 9 Iringa Town thats where I come from
Take a selfie in the club right now
On the instagram facebook I wanna see you smile
Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends
You can tag me too then we can be friends
[Hook: Cloudy 9]
Najua umependeza
Upo tayari hata kucheza
Shika camera piga picha
Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie najua umependeza
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie usijali wakikubeza
[Verse 3: Cloudy 9]
Hii party ya kuselfika
Piga picha, piga picha, piga picha, waaaooh!
Ni usiku hadi kunakucha
Piga picha, piga picha, piga picha
Kamata kishkwambi then take a selfie
Boyz and girlz in the club take a selfie
Iringa Town, Tanzania take a selfie
Mafisadi wote kwa pamoja take a selfie
Take a selfie in the club right now
On the instagram facebook I wanna see you smile
Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends
You can tag me too then we can be friends
[Hook: Cloudy 9]
Najua umependeza
Upo tayari hata kucheza
Shika camera piga picha
Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie najua umependeza
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie usijali wakikubeza
[Autro: Cloudy 9 & Mkwawa]
Yah, ni muda wa kupiga picha mayne
Mapicha picha kibao
No comment
[Bridge: Mkwawa]
Take a selfie, kamata kishkwambi
Take a selfie, shika simu yako
Take a selfie, take take take it
Take a selfie
Take a selfie
Take a selfie
[Autro: Cloudy 9]
Na-sign out na-log out...
IBOX...