Cloudy 9 - Take A Selfie (Feat. Mkwawa) lyrics

Published

0 195 0

Cloudy 9 - Take A Selfie (Feat. Mkwawa) lyrics

[Intro: Cloudy 9 & Mkwawa] Uprise Music (jingle) Waaaoooh! Dupy Shout out to Dupy mayne IBOX "Icebox Music" [Bridge: Mkwawa] Take a selfie Take a selfie Take a selfie Wuh, Cloudy 9 [Hook: Cloudy 9] Najua umependeza Upo tayari hata kucheza Shika camera piga picha Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha Take a selfie Take a selfie Take a selfie najua umependeza Take a selfie Take a selfie Take a selfie usijali wakikubeza [Verse 1: Cloudy 9] Jipige picha ukishajua umependeza Weka pozi tabasamu na usijali wakikubeza Wanasema unauza sura mbana sasa hawanunui Au bei ni ghali sio rahisi na pia hawajui Au ni wivu tuu hawapendi kwenda na wakati Wakati unawapita hawana jipya zaidi ya kuwa na chuki Waaooh, mi nadhani sio sawa Mitindo kama hii masnitch mnapagawa Take a selfie in the club right now On the instagram facebook I wanna see you smile Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends You can tag me too then we can be friends [Hook: Cloudy 9] Najua umependeza Upo tayari hata kucheza Shika camera piga picha Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha Take a selfie Take a selfie Take a selfie najua umependeza Take a selfie Take a selfie Take a selfie usijali wakikubeza [Verse 2: Cloudy 9] Grab your cellphone then take a selfie Snap one, snap two, I know you look s**y Pretty girls going crazy when they see my 6 pack Haters come through cuz they know am so famous Google + I gotta circles in my photos HD pix album like models Follow me twitter If you wanna, you can DM Cloudy 9 Iringa Town thats where I come from Take a selfie in the club right now On the instagram facebook I wanna see you smile Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends You can tag me too then we can be friends [Hook: Cloudy 9] Najua umependeza Upo tayari hata kucheza Shika camera piga picha Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha Take a selfie Take a selfie Take a selfie najua umependeza Take a selfie Take a selfie Take a selfie usijali wakikubeza [Verse 3: Cloudy 9] Hii party ya kuselfika Piga picha, piga picha, piga picha, waaaooh! Ni usiku hadi kunakucha Piga picha, piga picha, piga picha Kamata kishkwambi then take a selfie Boyz and girlz in the club take a selfie Iringa Town, Tanzania take a selfie Mafisadi wote kwa pamoja take a selfie Take a selfie in the club right now On the instagram facebook I wanna see you smile Dont worry 'bout the Likes when you share on your friends You can tag me too then we can be friends [Hook: Cloudy 9] Najua umependeza Upo tayari hata kucheza Shika camera piga picha Weka pozi tabasamu hakuna atakae kutisha Take a selfie Take a selfie Take a selfie najua umependeza Take a selfie Take a selfie Take a selfie usijali wakikubeza [Autro: Cloudy 9 & Mkwawa] Yah, ni muda wa kupiga picha mayne Mapicha picha kibao No comment [Bridge: Mkwawa] Take a selfie, kamata kishkwambi Take a selfie, shika simu yako Take a selfie, take take take it Take a selfie Take a selfie Take a selfie [Autro: Cloudy 9] Na-sign out na-log out... IBOX...