Verse 1:
Chuki ni mbaya
Huleta Fitina
Penye riziki
Hapakosi wivu
Kama makini
Wew
Don’t trust Nobody
Don’t believe them
Wa Yuda ni wengi
Ukitoka Tu Wana Talk
Masikio skia
Mdumo wangu
Kaa kimya
Macho yangu
Ona mbali eeeeh eeeee
Chorus:
Oooh Rafiki
Badilika (2fois)
Badilisha mwenendo
Badilika (2fois)
Verse 2:
Waulimwengu
Wana maneno mengi
Ku ishi nao
Kweli taabu
Be careful ooh ndugu
Rafiki Mnafiki Si rafiki
Ukikosa tu anakukwepa
Ukipata njo Utamuona
Be careful ooh ndugu
Badiliiiiiiiiiiika
Chorus:
Oooh Rafiki
Badilika (2fois)
Badilisha mwenendo
Badilika