Verse 1: Chuki ni mbaya Huleta Fitina Penye riziki Hapakosi wivu Kama makini Wew Don’t trust Nobody Don’t believe them Wa Yuda ni wengi Ukitoka Tu Wana Talk Masikio skia Mdumo wangu Kaa kimya Macho yangu Ona mbali eeeeh eeeee Chorus: Oooh Rafiki Badilika (2fois) Badilisha mwenendo Badilika (2fois) Verse 2: Waulimwengu Wana maneno mengi Ku ishi nao Kweli taabu Be careful ooh ndugu Rafiki Mnafiki Si rafiki Ukikosa tu anakukwepa Ukipata njo Utamuona Be careful ooh ndugu Badiliiiiiiiiiiika Chorus: Oooh Rafiki Badilika (2fois) Badilisha mwenendo Badilika