(Verse I) Octopizzo
Dope ka c**a, on field ka soccer
Juu ya moshi ka smoker, never serious ka joker
Texas Ranger ka Walker
Nairobi narun the street daily ka hawker
Tight ka biker
Zangu ni ku achieve magoal daily ka striker
Ready to go to war maze ka fighter
Ready na meno za vampire ka biter
Tayari nishabuild ma empire ka Rasta
Hiphop Shaolin temple, mi ndio master
Na sikujagi slow man, mi hukam faster
Flow zao ziko down mboch anazipiga duster
Corrupt game mtu wangu maze, mi ndio master
Nakunywaga hol maze niko holy ka pastor
Daily naleta drama kwa game ka actor
Mi mwenyewe drama, jina huanza na O.C
So sick ukinitaka utanipata kwa hossi
(Chorus
A.E.I.O Octo
A.E.I.O.U..
(Verse II)
They shook, I made them look
YGB number nane, made them shook
I'm so sick instead ya kuspit inabidi ni puke
Octo P.I. double Z, Oooh
Wakibonga about Safaricom natalk about Yu
Wakitalk about matatu natalk about boo
Wakitalk about watatu natalk about two
That's me and you, baby girl what it do?
Daily nawapita, in short nawapinga ka yule mse alikana Yesu mara tatu
Wanasema mi ni star mi huwaacha kwa mataa tu
Boy wa mtaa, sipandi boo ni matatu
Wananiita gangster bila kujichora matatoo
Nakula smart mtu wangu, hiyo ndio reason skuizi nafurisha mashavu kama chatu
Nikiingia kwa booth nachezea mabars ka street bar
Ka ni bill mtu wangu skuizi mi hulipa
Ka ni waresh skuizi ni walami hujipa
Unadai beef mtu wangu na we ni grim reeper
Flow zenu ziko shallow, yangu iko deep so
I'm the ish ambia Nyambane akuje na harpic
I'm the ish kwa show wanakuja ka wamebeba manapkin
Jyeah! YGB number nane baby
(Chorus)
A.E.I.O Octo
A.E.I.O.U...