OCTOPIZZO - VOWELS lyrics

Published

0 490 0

OCTOPIZZO - VOWELS lyrics

(Verse I) Octopizzo Dope ka c**a, on field ka soccer Juu ya moshi ka smoker, never serious ka joker Texas Ranger ka Walker Nairobi narun the street daily ka hawker Tight ka biker Zangu ni ku achieve magoal daily ka striker Ready to go to war maze ka fighter Ready na meno za vampire ka biter Tayari nishabuild ma empire ka Rasta Hiphop Shaolin temple, mi ndio master Na sikujagi slow man, mi hukam faster Flow zao ziko down mboch anazipiga duster Corrupt game mtu wangu maze, mi ndio master Nakunywaga hol maze niko holy ka pastor Daily naleta drama kwa game ka actor Mi mwenyewe drama, jina huanza na O.C So sick ukinitaka utanipata kwa hossi (Chorus A.E.I.O Octo A.E.I.O.U.. (Verse II) They shook, I made them look YGB number nane, made them shook I'm so sick instead ya kuspit inabidi ni puke Octo P.I. double Z, Oooh Wakibonga about Safaricom natalk about Yu Wakitalk about matatu natalk about boo Wakitalk about watatu natalk about two That's me and you, baby girl what it do? Daily nawapita, in short nawapinga ka yule mse alikana Yesu mara tatu Wanasema mi ni star mi huwaacha kwa mataa tu Boy wa mtaa, sipandi boo ni matatu Wananiita gangster bila kujichora matatoo Nakula smart mtu wangu, hiyo ndio reason skuizi nafurisha mashavu kama chatu Nikiingia kwa booth nachezea mabars ka street bar Ka ni bill mtu wangu skuizi mi hulipa Ka ni waresh skuizi ni walami hujipa Unadai beef mtu wangu na we ni grim reeper Flow zenu ziko shallow, yangu iko deep so I'm the ish ambia Nyambane akuje na harpic I'm the ish kwa show wanakuja ka wamebeba manapkin Jyeah! YGB number nane baby (Chorus) A.E.I.O Octo A.E.I.O.U...