Chorus
Hey Hey hello Ma
Laiti ungekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsi gani kukueleza
Au mi sijui bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitoweza Verse 1
Kila time nakuangalia usoni ma
Sio kamaa nakosa neno kusema
Ulivyo ma anafanya kosa kunena
Ingawa moyo hautaki kunena tena
Wazo kichwani lina beep (kukueleza)
Ilavibaya ukinijibu (bembeleza)
Nahisi sijui bembeleza
Utakataa halafu mi utaniumizaa
Kidesign nakuangalia usoni ma
Kuna sign za kuita huko machoni ma
Kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma
Unachotaka nianze mikusema
Hapa unafanya nijione (nitashinda)
Hapa unafanya nitamke (nakupenda)
Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti nausemacho machoni Chorus
Hey hey hello ma
Laiti ungekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsi gani kukueleza
Au mi sijui kubembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitoweza
Hello ma
Laiti ungekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsi gani kukueleza
Au mi sijui kubembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitoweza Verse 2
Kati yetu imetawala rangi ya pinki
Kitu ambacho moyoni siridhikii
Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki
Inajionyesha machoni unaafiki
Lugha ya macho kwa sasa (nakataa)
Tataka tuongee ilitufikie (mwafaka) Kwenye party ulikuja umependeza
Kwenye traini ukaniomba mi kucheza
Tukadance na macho umelegeza
Ulinibamba nikaficha kukueleza
Unanimaliza, mimi ninakweleza, Ninakupembeleza,
Baby please baby gal
Vile unatamka, wewe kuona nataka, Tuonge ana kwa ana,
Baby please baby gal Bridge
We Dada mi unaniumiza
We dada sijamaliza
Unakata simu
Please usikate ma Chorus
Hey hey hello ma
Laiti ungekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsi gani kukueleza
Au mi sijui kubembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitoweza
Hello ma
Laiti ungekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsi gani kukueleza
Au mi sijui kubembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitoweza