Chorus Hey Hey hello Ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui bembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Verse 1 Kila time nakuangalia usoni ma Sio kamaa nakosa neno kusema Ulivyo ma anafanya kosa kunena Ingawa moyo hautaki kunena tena Wazo kichwani lina beep (kukueleza) Ilavibaya ukinijibu (bembeleza) Nahisi sijui bembeleza Utakataa halafu mi utaniumizaa Kidesign nakuangalia usoni ma Kuna sign za kuita huko machoni ma Kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma Unachotaka nianze mikusema Hapa unafanya nijione (nitashinda) Hapa unafanya nitamke (nakupenda) Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti nausemacho machoni Chorus Hey hey hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Verse 2 Kati yetu imetawala rangi ya pinki Kitu ambacho moyoni siridhikii Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki Inajionyesha machoni unaafiki Lugha ya macho kwa sasa (nakataa) Tataka tuongee ilitufikie (mwafaka) Kwenye party ulikuja umependeza Kwenye traini ukaniomba mi kucheza Tukadance na macho umelegeza Ulinibamba nikaficha kukueleza Unanimaliza, mimi ninakweleza, Ninakupembeleza, Baby please baby gal Vile unatamka, wewe kuona nataka, Tuonge ana kwa ana, Baby please baby gal Bridge We Dada mi unaniumiza We dada sijamaliza Unakata simu Please usikate ma Chorus Hey hey hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza