Intro
Alidhani ni askari kumbe ni majambazi
Verse 1 (Gwiji)
Naileta kwa mtaa yenu kama bunduki
Tena naileta kama chuki
Nafuata nyuki
Na silaha na kufunga kazi
Nafanya kazi ama nimeandika wafanyikazi
Tunakufa na umaskini ukimwi alafu mtu aniambie juu ya kupanga uzazi
Uwa
Informer
Ambia paparazzi
Simeon siku hizi anavaa buibui mrembo
Mwenye alimpea mtoto hajui
Man, maintain total
System ni ya majambazi
Toka
Kila mtu apende it wasn't me
FM zingine hazifiki ushago uliza KBC wasomi
Homie
Wanataka vasectomy
Homie
Juu ya economy
Barua
Kwa
Karani amevaa miwani akae handsome to my honey
Kijana
Anakula mahindi unaskia harufu ya njugu
Haukuenda matanga ya ndugu
Nafanya my time nikichungwa na mungu
Ngumu kuwacha crime
Unaikula kama pilipili
Akili control mwili
Msichana alibadilisha mtoto kwa hospitali wakaishi kwa hali ya utajiri
Poison watu wa hoteli wakuje kwa hospitali tuliofungua
Una ndoto kununua baiskeli
Mi ndege
Chapa wasenge
DJ nilenge na reggae
Chorus
Hii system ni ya majambazi
Ma-pastor majambazi
Ministers majambazi
Ma-lawyer majambazi
Na si vijana wa ghetto
Maja-mbazi
Askari wazazi
Hii system ni ya majambazi
Ma-pastor majambazi
Ministers majambazi
Ma-lawyer majambazi
Na si vijana wa ghetto
Maja-mbazi
Askari wazazi
Verse 2 (Kitu Sewer)
Kuna vita nje
Ndio maana blood pressure inapanda
Bodyguards wanarandaranda
Bosses
Wanapimwa na silaha kwa veranda
Hauwezi shiba
Vizuri na watoto kwa nyumba
Huwezi iba vizuri police wako nyuma
Wee ni mali ya umma
Uwongo na mkono moja kwa bible
Kwea na mitambo ya chuma kwa parliament
Na nyumba za kuombea unatolewa ushuru na pistol
Kwa mdomo kwa jina la Kristo
Hewa imejaa diesel
Watu wanatamani kupumua kama magari na mandege protein na vitamin
Kwa matembe za kulevya
Dhuru afya ndio pesa zitengenezwe
Technology
Shortcut za kifo
System
Eight minus four
Minus four equals zero
Miguu zinapanuliwa kwa giza
Tuliharibiwa vichwa na pombe
Tuko bado kwa mimba
Generation ilipita kwa condom zimetoboka juu ya kutotosheka
Tulizaliwa kwa ma-incubator
Vita ni juu ya tamaa
Mbio juu ya saa ministers
Badilisha magari kwa uwoga wa kufuatwa
Andika will leo in case
Kesho utamadwa
Patwa na bibi ya reverend nyongwa na sacrament
Pesa chafu kwa minister father na padre
Sumu kwa kinywaji
Hau-trust ata maji
Family pia ni wauaji
Tangu pesa pombe, nashuku macho zinaniangalia
Shuku mikono zinanisalimia
Gari zinaongeza mbio zikikukaribia
Nairobi mji wa
Wezi na malaya wan*lia machozi za diamond kwa lodging
Flying squad wanahoji
Umetoa wapi gari na haufanyi kazi
Wee ni jam-jam-jambazi
Chorus
Hii system ni ya majambazi
Ma-pastor majambazi
Ministers majambazi
Ma-lawyer majambazi
Na si vijana wa ghetto
Maja-mbazi
Askari wazazi
Hii system ni ya majambazi
Ma-pastor majambazi
Ministers majambazi
Ma-lawyer majambazi
Na si vijana wa ghetto
Maja-mbazi
Askari wazazi