Kitu Sewer - System Ya Majambazi lyrics

Published

0 1053 0

Kitu Sewer - System Ya Majambazi lyrics

Intro Alidhani ni askari kumbe ni majambazi Verse 1 (Gwiji) Naileta kwa mtaa yenu kama bunduki Tena naileta kama chuki Nafuata nyuki Na silaha na kufunga kazi Nafanya kazi ama nimeandika wafanyikazi Tunakufa na umaskini ukimwi alafu mtu aniambie juu ya kupanga uzazi Uwa Informer Ambia paparazzi Simeon siku hizi anavaa buibui mrembo Mwenye alimpea mtoto hajui Man, maintain total System ni ya majambazi Toka Kila mtu apende it wasn't me FM zingine hazifiki ushago uliza KBC wasomi Homie Wanataka vasectomy Homie Juu ya economy Barua Kwa Karani amevaa miwani akae handsome to my honey Kijana Anakula mahindi unaskia harufu ya njugu Haukuenda matanga ya ndugu Nafanya my time nikichungwa na mungu Ngumu kuwacha crime Unaikula kama pilipili Akili control mwili Msichana alibadilisha mtoto kwa hospitali wakaishi kwa hali ya utajiri Poison watu wa hoteli wakuje kwa hospitali tuliofungua Una ndoto kununua baiskeli Mi ndege Chapa wasenge DJ nilenge na reggae Chorus Hii system ni ya majambazi Ma-pastor majambazi Ministers majambazi Ma-lawyer majambazi Na si vijana wa ghetto Maja-mbazi Askari wazazi Hii system ni ya majambazi Ma-pastor majambazi Ministers majambazi Ma-lawyer majambazi Na si vijana wa ghetto Maja-mbazi Askari wazazi Verse 2 (Kitu Sewer) Kuna vita nje Ndio maana blood pressure inapanda Bodyguards wanarandaranda Bosses Wanapimwa na silaha kwa veranda Hauwezi shiba Vizuri na watoto kwa nyumba Huwezi iba vizuri police wako nyuma Wee ni mali ya umma Uwongo na mkono moja kwa bible Kwea na mitambo ya chuma kwa parliament Na nyumba za kuombea unatolewa ushuru na pistol Kwa mdomo kwa jina la Kristo Hewa imejaa diesel Watu wanatamani kupumua kama magari na mandege protein na vitamin Kwa matembe za kulevya Dhuru afya ndio pesa zitengenezwe Technology Shortcut za kifo System Eight minus four Minus four equals zero Miguu zinapanuliwa kwa giza Tuliharibiwa vichwa na pombe Tuko bado kwa mimba Generation ilipita kwa condom zimetoboka juu ya kutotosheka Tulizaliwa kwa ma-incubator Vita ni juu ya tamaa Mbio juu ya saa ministers Badilisha magari kwa uwoga wa kufuatwa Andika will leo in case Kesho utamadwa Patwa na bibi ya reverend nyongwa na sacrament Pesa chafu kwa minister father na padre Sumu kwa kinywaji Hau-trust ata maji Family pia ni wauaji Tangu pesa pombe, nashuku macho zinaniangalia Shuku mikono zinanisalimia Gari zinaongeza mbio zikikukaribia Nairobi mji wa Wezi na malaya wan*lia machozi za diamond kwa lodging Flying squad wanahoji Umetoa wapi gari na haufanyi kazi Wee ni jam-jam-jambazi Chorus Hii system ni ya majambazi Ma-pastor majambazi Ministers majambazi Ma-lawyer majambazi Na si vijana wa ghetto Maja-mbazi Askari wazazi Hii system ni ya majambazi Ma-pastor majambazi Ministers majambazi Ma-lawyer majambazi Na si vijana wa ghetto Maja-mbazi Askari wazazi