[Verse 1: Vigeti]
Vitu Mbaya mi naifanyanga berne
Ma-hater ni ma-hater wanakuwanga na gere
Wapakwe make-up ili-waitwangwe Magere
Walinyemelea kivuli design ya Luanda Magere eh!
Akina Kaligraph Jones wakijadai venye hao ni wakali kwa flow
Hata ufure vipi Vigeti hapatikani na blow
Nami mchafu shinda apron makanika bro!
Kuni-diss ni mistake, na unazimisha respect
Na suggest kwanza flow, unge badilisha instead
Original emcee mu-ulize Big Ted
Hyper manze mi naku snipe na ma-feh
Nipate corner zote kama cyber-café
Tumekuja kuharibu cypher aiseh!
Ndio mumenipea psyche bwana
Itabidi Ken Ring unplug mic ama?
Ni kama tofauti ya original Timberland
Na zenye zenye ziko siku hizi joh Simbaland
Ma-hardcore vipi oh wanaimba man
Itabidi niokoke nimfuate Timba-man
At least Dobeez anaweza bonga
Wengine ni u-stupi-tu ndio wanakuwanga eh!
Tafuta flow, tukisema gotta go gotta go
Tangaza war, majembe tulirudishanga store
Destiny's child mi naitangwa survivor
Cheki no style mi namwaga kwa cypher
Hii sio diss track, hii ni mlale chini mdhii kukibishwa
Riswa! Watu wa-duck zikililishwa
Misa, kichwa, kwisha kwisha (kwishaa)
I wish mgelijua vizuri
Wengine wanainua chuma watoe kifua kiburi
Surface area ime-improve ya kuwalipua vizuri
Hiyo ni ulimi-tu huwezi ukakuwa mhuni
Nimechorwa sura Dandora tu mpaka kwa sura
Mjanja shinda kina Kaka Sungura
Watoto wadogo juzi ndio vichwa zimeanza kufura
Landlord-y mi na dai kodi anza kugura
Nadhani mliambiwa na kina Smallz Lethal boy, (ma-hater!)
Si tumepinda over mosquito coil
(Murder murder murder
Uwa uwa uwa) X8
[Verse 2: Ken Ring]
………………………..
……………………………
………………………………
........................................
(Murder murder murder
Uwa uwa uwa) X8