Ken Ring - Simba lyrics

Published

0 128 0

Ken Ring - Simba lyrics

[Verse 1: Vigeti] Vitu Mbaya mi naifanyanga berne Ma-hater ni ma-hater wanakuwanga na gere Wapakwe make-up ili-waitwangwe Magere Walinyemelea kivuli design ya Luanda Magere eh! Akina Kaligraph Jones wakijadai venye hao ni wakali kwa flow Hata ufure vipi Vigeti hapatikani na blow Nami mchafu shinda apron makanika bro! Kuni-diss ni mistake, na unazimisha respect Na suggest kwanza flow, unge badilisha instead Original emcee mu-ulize Big Ted Hyper manze mi naku snipe na ma-feh Nipate corner zote kama cyber-café Tumekuja kuharibu cypher aiseh! Ndio mumenipea psyche bwana Itabidi Ken Ring unplug mic ama? Ni kama tofauti ya original Timberland Na zenye zenye ziko siku hizi joh Simbaland Ma-hardcore vipi oh wanaimba man Itabidi niokoke nimfuate Timba-man At least Dobeez anaweza bonga Wengine ni u-stupi-tu ndio wanakuwanga eh! Tafuta flow, tukisema gotta go gotta go Tangaza war, majembe tulirudishanga store Destiny's child mi naitangwa survivor Cheki no style mi namwaga kwa cypher Hii sio diss track, hii ni mlale chini mdhii kukibishwa Riswa! Watu wa-duck zikililishwa Misa, kichwa, kwisha kwisha (kwishaa) I wish mgelijua vizuri Wengine wanainua chuma watoe kifua kiburi Surface area ime-improve ya kuwalipua vizuri Hiyo ni ulimi-tu huwezi ukakuwa mhuni Nimechorwa sura Dandora tu mpaka kwa sura Mjanja shinda kina Kaka Sungura Watoto wadogo juzi ndio vichwa zimeanza kufura Landlord-y mi na dai kodi anza kugura Nadhani mliambiwa na kina Smallz Lethal boy, (ma-hater!) Si tumepinda over mosquito coil (Murder murder murder Uwa uwa uwa) X8 [Verse 2: Ken Ring] ……………………….. …………………………… ……………………………… ........................................ (Murder murder murder Uwa uwa uwa) X8