(Chorus)
Wameshatuchosha na kapuka zao/
Wakikupima sana bana vunja hao/
Tukishaseti ngoma sasa dunda nayo/
Dunda Nayo... Dunda Nayo/ X2
[Verse One: Kalimani]
Kuna ma-wanna be, ma-rapper maji maji/
Kazi ni kuchocha na kushukisha kipaji/
Ku-drop vitu whack bila kufata kanuni/
Na wengi wao small shinda Jim Nyakundi/
Okay, the gospel kwa pulpit ya Posted/
Ni kuspit ma-conscious na kusplit ma roasted/
Hospice accosted na stoners wako toasted/
Fan base ya Coast itu-host kwa ma-concert/
Abbas-Abbas aki-pa** pa** ma-puff puff/
Kimathi Marshall kwenye vush na ma Lager/
Chris to the K, akirain na ma Chrystal/
Mr. Labalaa, ako juu ya laa/
Mi ni mkenya bana kama Cubanotics/
Vako ni za Hip Hop, njaro ni za noti/
Mapesa za Bobby, mapresha za Poxy/
R.I.P to G-wiji yaani miti/
(Chorus)
[Verse Two: Kalimani]
Saluti full kwa Chiwawa man, that's my dog/
Dunda nayo, dunda nayo man.. that's my song/
Naskia ni kama, nitafsiri hii sanaa/
Joh ni zamani sana, tuskie Kalamashaka/
Kama judge mi nakuanga na 'illness'/
Ku-blaze na mabuda man, what is the business/
Freestyle na Xcalibur, fans go Xtatic/
Ukiuliza Man Njoro.. "mi najuaga Rabbit"/
Mi si msick, nina Genetic Disorder/
The trouble I bring ishafika Level Next/
Uliza Doubles Deff... Punchlines kila kina/
Ka kakitu hauromi.. achia ma-genius/
X-Ray vision tukibattle na ma-warlord/
Hustler kama Jay akiroga kwa Supreme Court/
Nikiandika Mistaree.. fikra zangu Teule/
Nakuja na noma ka Musyoks, Tosh na Big Mic/
(Chorus)
Unadai number one ama ukue number nane/
Upigwe na ma-Bamboo mpaka nywele zisimame/
Nimengoja miaka nane nikitrack wale marobber/
Wa kusanya mistari na sio ma-Klepto, kwa ngoma/
Unafaa kuogopa vile joh kuna ma DJ/
Watakucheza shere track yako itupwe nje/
Wanamanga wasanii ni ka mazeh hao ni ma Cannibal/
Watakumess up kwanza na letters za Capital/
Mwanahesabu vile track zangu kali/
The translator, si unajua, Kalimani/
Fresh ka Kitu Sewer amedunga label za K-Swiss/
Kuspit mimi ni Mutant, attacking any Nemesis/
Flow ni fluid, naroga vi-liquid/
k** strangers na D Major... Kwani hunyiti/
Sharp shooter kama sniper ama wire iko na Barbz/
Plus niko na bars, hiyo ni point blank... period!
(Chorus)