Kalimani - Dunda Nayo lyrics

Published

0 274 0

Kalimani - Dunda Nayo lyrics

(Chorus) Wameshatuchosha na kapuka zao/ Wakikupima sana bana vunja hao/ Tukishaseti ngoma sasa dunda nayo/ Dunda Nayo... Dunda Nayo/ X2 [Verse One: Kalimani] Kuna ma-wanna be, ma-rapper maji maji/ Kazi ni kuchocha na kushukisha kipaji/ Ku-drop vitu whack bila kufata kanuni/ Na wengi wao small shinda Jim Nyakundi/ Okay, the gospel kwa pulpit ya Posted/ Ni kuspit ma-conscious na kusplit ma roasted/ Hospice accosted na stoners wako toasted/ Fan base ya Coast itu-host kwa ma-concert/ Abbas-Abbas aki-pa** pa** ma-puff puff/ Kimathi Marshall kwenye vush na ma Lager/ Chris to the K, akirain na ma Chrystal/ Mr. Labalaa, ako juu ya laa/ Mi ni mkenya bana kama Cubanotics/ Vako ni za Hip Hop, njaro ni za noti/ Mapesa za Bobby, mapresha za Poxy/ R.I.P to G-wiji yaani miti/ (Chorus) [Verse Two: Kalimani] Saluti full kwa Chiwawa man, that's my dog/ Dunda nayo, dunda nayo man.. that's my song/ Naskia ni kama, nitafsiri hii sanaa/ Joh ni zamani sana, tuskie Kalamashaka/ Kama judge mi nakuanga na 'illness'/ Ku-blaze na mabuda man, what is the business/ Freestyle na Xcalibur, fans go Xtatic/ Ukiuliza Man Njoro.. "mi najuaga Rabbit"/ Mi si msick, nina Genetic Disorder/ The trouble I bring ishafika Level Next/ Uliza Doubles Deff... Punchlines kila kina/ Ka kakitu hauromi.. achia ma-genius/ X-Ray vision tukibattle na ma-warlord/ Hustler kama Jay akiroga kwa Supreme Court/ Nikiandika Mistaree.. fikra zangu Teule/ Nakuja na noma ka Musyoks, Tosh na Big Mic/ (Chorus) Unadai number one ama ukue number nane/ Upigwe na ma-Bamboo mpaka nywele zisimame/ Nimengoja miaka nane nikitrack wale marobber/ Wa kusanya mistari na sio ma-Klepto, kwa ngoma/ Unafaa kuogopa vile joh kuna ma DJ/ Watakucheza shere track yako itupwe nje/ Wanamanga wasanii ni ka mazeh hao ni ma Cannibal/ Watakumess up kwanza na letters za Capital/ Mwanahesabu vile track zangu kali/ The translator, si unajua, Kalimani/ Fresh ka Kitu Sewer amedunga label za K-Swiss/ Kuspit mimi ni Mutant, attacking any Nemesis/ Flow ni fluid, naroga vi-liquid/ k** strangers na D Major... Kwani hunyiti/ Sharp shooter kama sniper ama wire iko na Barbz/ Plus niko na bars, hiyo ni point blank... period! (Chorus)