Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye
Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye
Sitaki useme wee
waniaacha ahhh
Sijioni bila wewe
Pole pole miii nitasonga ehhh
Miye nimefika mwisho
Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye
So long see you
Mola awe nawe uendapo
Nasema kwaheri nasonga mbele
Nasema kwaheri kwaheri bye bye
Nasema kwaheri nasonga mbele
Nasema kwaheri kwaheri bye bye
Mimi sijui sielwei kama hun'taki basi tuseme bye bye
So long see you
Mola awe nawe uendapo