Just A Band - Bye Bye lyrics

Published

0 296 0

Just A Band - Bye Bye lyrics

Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye Sitaki useme wee waniaacha ahhh Sijioni bila wewe Pole pole miii nitasonga ehhh Miye nimefika mwisho Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye So long see you Mola awe nawe uendapo Nasema kwaheri nasonga mbele Nasema kwaheri kwaheri bye bye Nasema kwaheri nasonga mbele Nasema kwaheri kwaheri bye bye Mimi sijui sielwei kama hun'taki basi tuseme bye bye So long see you Mola awe nawe uendapo