Dunia nizamishe
ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia Dunia nizamishe
ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia Chorus
nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 1
namwamini daktari sana amponye
rafiki yangu
anamweka kwenye life support machine,
kumbe aliaga ni pesa anakusanya
mama mzito anamwamini mkunga
amzalishie mtoto baada ya miezi tisa
mkunga anamgeukia
mtoto anamgeuzia
niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia Chorus
nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 2
mwanasiasa aliniomba kura
akiniahidi yote atatimiza
baada ya miaka tano anarudi na kitambi
bila kutimiza
nina pastor ka jirani yangu nilimwamini
kufa na kupona
nikitoka kwangu, naye anaingia kuzali
na bibi yangu niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia Chorus
nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 3
Dunia nizamishe
ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia Dunia nizamishe
ama uniweke niishi pekee yangu, kwani
ninapomwamini kila binadamu, mwishowe
ananigeukia bibi yangu kigeugeu
pastor wangu kigeugeu
mkunga kigeugeu
wanasiasa vigeugeu
rafiki yangu kigeugeu
fundi wangu kigeugeu
dereva, kigeugeu
conductor, kigeugeu bibi yangu kigeugeu
pastor wangu kigeugeu
mkunga kigeugeu
wanasiasa vigeugeu
rafiki yangu kigeugeu
fundi wangu kigeugeu
dereva, kigeugeu
conductor, kigeugeu