Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu, kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu, kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia Chorus nimtazame nani, nimwamini nani (nani) wananigeukia vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 1 namwamini daktari sana amponye rafiki yangu anamweka kwenye life support machine, kumbe aliaga ni pesa anakusanya mama mzito anamwamini mkunga amzalishie mtoto baada ya miezi tisa mkunga anamgeukia mtoto anamgeuzia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia Chorus nimtazame nani, nimwamini nani (nani) wananigeukia vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia nimtazame nani, nimwamini nani (nani) wananigeukia vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 2 mwanasiasa aliniomba kura akiniahidi yote atatimiza baada ya miaka tano anarudi na kitambi bila kutimiza nina pastor ka jirani yangu nilimwamini kufa na kupona nikitoka kwangu, naye anaingia kuzali na bibi yangu niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia niki-hustle juu chini ili nivuke border wananigeukia Chorus nimtazame nani, nimwamini nani (nani) wananigeukia vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia nimtazame nani, nimwamini nani (nani) wananigeukia vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia Verse 3 Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu, kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu, kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia bibi yangu kigeugeu pastor wangu kigeugeu mkunga kigeugeu wanasiasa vigeugeu rafiki yangu kigeugeu fundi wangu kigeugeu dereva, kigeugeu conductor, kigeugeu bibi yangu kigeugeu pastor wangu kigeugeu mkunga kigeugeu wanasiasa vigeugeu rafiki yangu kigeugeu fundi wangu kigeugeu dereva, kigeugeu conductor, kigeugeu