[Intro]
Hawajui niko hapa kwa nini
Ningependa niwaeleza kwa nini
[Pre-verse]
It's been a minute since I did this yeah
Dakika mbili ama tatu yeah
Na kabla twende mbali nani
Ningependa ukumbuke hii beat ni ya...
[Verse 1]
Wahenga walisema umoja ni nguvu
Na wahenga wakasema uwiano pia nguvu
Tukuje pamoja tuungane
Tuwe kimoja kama mandugu..
[Chorus]
Umoja ni nguvu
Oooh X2
Tuwe kimoja
Oooh X2
Umoja ni nguvu
Oooh X2
Tuwe kimoja
Oooh X2
[Repeat Intro]
Hawajui niko hapa kwa nini
Ningependa niwaeleza kwa nini
[Verse 2]
DDD tuungane kenya, Cambodia
US na Laos tuwe kimoja
Maono yetu moja, Misheni yetu moja
Kwa bidii, lengo tutatimiza
[Chorus]
Umoja ni nguvu
Oooh X2
Tuwe kimoja
Oooh X2
Umoja ni nguvu
Oooh X2
Tuwe kimoja
Oooh X2
[Verse 3]
Sisi ka Shebang
Hii event tunarun
Billy nelson naye Anne wamekubali
Kama mwatufeel put your hands in the air
Tumekuja na ujumbe umoja ndio nguvu
[Outro]
Tukishikamana milele tutadumu X3
Yeah Hotsea!!!