HOTSEA - Umoja lyrics

Published

0 337 0

HOTSEA - Umoja lyrics

[Intro] Hawajui niko hapa kwa nini Ningependa niwaeleza kwa nini [Pre-verse] It's been a minute since I did this yeah Dakika mbili ama tatu yeah Na kabla twende mbali nani Ningependa ukumbuke hii beat ni ya... [Verse 1] Wahenga walisema umoja ni nguvu Na wahenga wakasema uwiano pia nguvu Tukuje pamoja tuungane Tuwe kimoja kama mandugu.. [Chorus] Umoja ni nguvu Oooh X2 Tuwe kimoja Oooh X2 Umoja ni nguvu Oooh X2 Tuwe kimoja Oooh X2 [Repeat Intro] Hawajui niko hapa kwa nini Ningependa niwaeleza kwa nini [Verse 2] DDD tuungane kenya, Cambodia US na Laos tuwe kimoja Maono yetu moja, Misheni yetu moja Kwa bidii, lengo tutatimiza [Chorus] Umoja ni nguvu Oooh X2 Tuwe kimoja Oooh X2 Umoja ni nguvu Oooh X2 Tuwe kimoja Oooh X2 [Verse 3] Sisi ka Shebang Hii event tunarun Billy nelson naye Anne wamekubali Kama mwatufeel put your hands in the air Tumekuja na ujumbe umoja ndio nguvu [Outro] Tukishikamana milele tutadumu X3 Yeah Hotsea!!!