[Intro]
Yow yow yow yow
Yeah yeah yeah yeah
(Yes I)
Hata bila kutaja si wajua ni nani
[Chorus]
Ukiniona nakutazama wee mami
Juwa tayari ushapata yangu mali
Ukinifanya kesho nitake kumarry
Itakuwa Baraka kweli si ajali X2
[Verse 1]
Natamani usaidizi na shida fulani
Ni ndogo lakini ndefu kama safari
Ndiyo yanifanya saa hii niteremshe brandy
Ya Viceroy kisha nianze uradi
Ya kutafta mrembo mwenye body
Mwenye kuturn tuddy
Mwenye nikibisha hodi
Haniiitishangi kodi
Amebeba kama lorry
Tabia kama za Jolie
Angelina Jolie ama ni Gathoni?
[Chorus]
Ukiniona nakutazama wee mami
Juwa tayari ushapata yangu mali
Ukinifanya kesho nitake kumarry
Itakuwa Baraka kweli si ajali X2
[Verse 2]
Sikulangi na macho pekee niite Hannibal
Mikono ni lazima kama volleyball
Assets za you pekee ndio valuable
Zinafanya za wengine zinakaa horrible
Mami wacha za badae
Huoni vile wanifaa?
Ma' wacha kunideny
Huoni vile nakudai?
Hii basi ndio ile sign
Ya kuonyesha wee ni wa mine
[Chorus]
Ukiniona nakutazama wee mami
Juwa tayari ushapata yangu mali
Ukinifanya kesho nitake kumarry
Itakuwa Baraka kweli si ajali X2
[Verse 3]
Pilipili nayo ila yaniwasha
Sihitaji bahasha
Ili kukupasha juu ya kile nachotaka
Mimi ndio usher
Toa yako sadaka
Ukicheza chakacha
Ni vigumu kutodata
Sikulangi huu na hasara juu
Nishamake move na yangu miguu
Ka ulidhani kuplay cool ni kuwa zuzu
Ngoja tufike kejani ndio ujue huyu voodoo
[Chorus]
Ukiniona nakutazama wee mami
Juwa tayari ushapata yangu mali
Ukinifanya kesho nitake kumarry
Itakuwa Baraka kweli si ajali X2
[Outro]
Hotsea!!!