HOTSEA - SI AJALI lyrics

Published

0 261 0

HOTSEA - SI AJALI lyrics

[Intro] Yow yow yow yow Yeah yeah yeah yeah (Yes I) Hata bila kutaja si wajua ni nani [Chorus] Ukiniona nakutazama wee mami Juwa tayari ushapata yangu mali Ukinifanya kesho nitake kumarry Itakuwa Baraka kweli si ajali X2 [Verse 1] Natamani usaidizi na shida fulani Ni ndogo lakini ndefu kama safari Ndiyo yanifanya saa hii niteremshe brandy Ya Viceroy kisha nianze uradi Ya kutafta mrembo mwenye body Mwenye kuturn tuddy Mwenye nikibisha hodi Haniiitishangi kodi Amebeba kama lorry Tabia kama za Jolie Angelina Jolie ama ni Gathoni? [Chorus] Ukiniona nakutazama wee mami Juwa tayari ushapata yangu mali Ukinifanya kesho nitake kumarry Itakuwa Baraka kweli si ajali X2 [Verse 2] Sikulangi na macho pekee niite Hannibal Mikono ni lazima kama volleyball Assets za you pekee ndio valuable Zinafanya za wengine zinakaa horrible Mami wacha za badae Huoni vile wanifaa? Ma' wacha kunideny Huoni vile nakudai? Hii basi ndio ile sign Ya kuonyesha wee ni wa mine [Chorus] Ukiniona nakutazama wee mami Juwa tayari ushapata yangu mali Ukinifanya kesho nitake kumarry Itakuwa Baraka kweli si ajali X2 [Verse 3] Pilipili nayo ila yaniwasha Sihitaji bahasha Ili kukupasha juu ya kile nachotaka Mimi ndio usher Toa yako sadaka Ukicheza chakacha Ni vigumu kutodata Sikulangi huu na hasara juu Nishamake move na yangu miguu Ka ulidhani kuplay cool ni kuwa zuzu Ngoja tufike kejani ndio ujue huyu voodoo [Chorus] Ukiniona nakutazama wee mami Juwa tayari ushapata yangu mali Ukinifanya kesho nitake kumarry Itakuwa Baraka kweli si ajali X2 [Outro] Hotsea!!!