[Intro]
Huyo dame alikuwa amekunywa nini
Hiyo thong ilikuwa inafanya nini
Hapo juu ya gong na bado asubuhi kufika
(Boss kumbuka)
[Verse 1]
Kwa hii dom mi pekee ndio king
Ukinicheki na Charlene hiyo si shillingi
Combination ya dollar na yen mali nyingi
Kwa meno ni njugu sitambuangi mahindi
Nikianza kutembea first Malindi
Nikitaka kubobea kwa bara la hindi
Itabidi kuchorea vitisho baridi
Nimechoka kujam saa nataka ku-BB
BB nishadunga CD
Uko na matiti so ni lazima kuzizi...
Shika kama chali hajawahi kutindi
Ile ya siku moja mi sitafuti bibi
Na hata ka ningekuwa natafuta bibi
Ningefanya juu chini usijue ni lini
Mi hupatana na Kelly, Mary
Wakiwa maji nawadanganya mi ndio Jerry
[Verse 2]
Niko na madada
Wa kila aina
Niko na wale wa Kenya
Wale wa China
Napendanga wale mature
Sipendi minors
Napendanga wale down to earth
Na pia high cla**
Of attraction mie ndio center
Wajiona than me wee ni better
Jaribu basi kupita na Benta
Uone vile ntapita na wako Julieta
Usijaribu kulenga
Ni wee ndio nabongesha
Sura ka monkey kazi yako ni kuteta
Ati hiyo ndio ngepa
Hiyo ni kilemba
Wacha kufanya nicheke
n***a see you later
[Outro]
Ahaa...
Kwa hii freestyle ni Hotsea
Two zero one three
Naleta more
Two zero one four