HOTSEA - FREESTYLE lyrics

Published

0 252 0

HOTSEA - FREESTYLE lyrics

[Intro] Huyo dame alikuwa amekunywa nini Hiyo thong ilikuwa inafanya nini Hapo juu ya gong na bado asubuhi kufika (Boss kumbuka) [Verse 1] Kwa hii dom mi pekee ndio king Ukinicheki na Charlene hiyo si shillingi Combination ya dollar na yen mali nyingi Kwa meno ni njugu sitambuangi mahindi Nikianza kutembea first Malindi Nikitaka kubobea kwa bara la hindi Itabidi kuchorea vitisho baridi Nimechoka kujam saa nataka ku-BB BB nishadunga CD Uko na matiti so ni lazima kuzizi... Shika kama chali hajawahi kutindi Ile ya siku moja mi sitafuti bibi Na hata ka ningekuwa natafuta bibi Ningefanya juu chini usijue ni lini Mi hupatana na Kelly, Mary Wakiwa maji nawadanganya mi ndio Jerry [Verse 2] Niko na madada Wa kila aina Niko na wale wa Kenya Wale wa China Napendanga wale mature Sipendi minors Napendanga wale down to earth Na pia high cla** Of attraction mie ndio center Wajiona than me wee ni better Jaribu basi kupita na Benta Uone vile ntapita na wako Julieta Usijaribu kulenga Ni wee ndio nabongesha Sura ka monkey kazi yako ni kuteta Ati hiyo ndio ngepa Hiyo ni kilemba Wacha kufanya nicheke n***a see you later [Outro] Ahaa... Kwa hii freestyle ni Hotsea Two zero one three Naleta more Two zero one four