Godson Jawabu
Viceversa - Intro -
mmmh mambo viceversa hivi mbona
Teddy B,. Godson Jawabu eh! - Chorus -
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona - Verse one -
Kwa kanisa usingizi ni heavy,
Na lala kwa ibada kama mlevi
Sipati bibi napata ma baibe,
ngumu kusoma bible nasoma gazeti
Church inafaa tu spread kwa world na, world ndio sa ina spread kwa church,
Temptation zani kanda bongo man, nikisema ukweli nachanganya na uwongo man
mbona vile sio hivi, secular bado naskiza mimi
Yale nafaa ku do si do
Yale sifai ku do ndio na do do do do - Chorus -
Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona - Verse two -
Aliombea wafu wakafufuka,
si tunaombea wagonjwa wanakufa
Ju ya mitume viwete walitembea,
wa siku hizi huwaona na kuchorea
Inakuaje kwa ma kanisani ndio kuna mapepe,
Vituko mingi na msarakasi nakaka nielewe eh
I say maombi tunalipia
Na upako tuna uziwa
Mambo haya sijasikia kwa bibilia - Bridge -
Lipo lipo, lipo suluhisho lipo kwa Yesu
Lipo lipo, lipo ni kuanza upya tena
Lipo lipo, lipo suluhisho lipo wakristo
Lipo lipo, lipo ni kutafakari neno siyo maneno
ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona?
ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona?
eh eh eh eeeh - Chorus -
Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi
mbona mbona mbona mambo viceversa hivi
Mbona mbona mbona aaaaah mbona