Godson Jawabu - Viceversa lyrics

Published

0 231 0

Godson Jawabu - Viceversa lyrics

Godson Jawabu Viceversa - Intro - mmmh mambo viceversa hivi mbona Teddy B,. Godson Jawabu eh! - Chorus - mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona aaaaah mbona - Verse one - Kwa kanisa usingizi ni heavy, Na lala kwa ibada kama mlevi Sipati bibi napata ma baibe, ngumu kusoma bible nasoma gazeti Church inafaa tu spread kwa world na, world ndio sa ina spread kwa church, Temptation zani kanda bongo man, nikisema ukweli nachanganya na uwongo man mbona vile sio hivi, secular bado naskiza mimi Yale nafaa ku do si do Yale sifai ku do ndio na do do do do - Chorus - Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona aaaaah mbona - Verse two - Aliombea wafu wakafufuka, si tunaombea wagonjwa wanakufa Ju ya mitume viwete walitembea, wa siku hizi huwaona na kuchorea Inakuaje kwa ma kanisani ndio kuna mapepe, Vituko mingi na msarakasi nakaka nielewe eh I say maombi tunalipia Na upako tuna uziwa Mambo haya sijasikia kwa bibilia - Bridge - Lipo lipo, lipo suluhisho lipo kwa Yesu Lipo lipo, lipo ni kuanza upya tena Lipo lipo, lipo suluhisho lipo wakristo Lipo lipo, lipo ni kutafakari neno siyo maneno ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona? ohhhh oh mambo viceversa hivi mbona? eh eh eh eeeh - Chorus - Mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona badala ya vile ni hivi mbona mbona mbona mambo viceversa hivi Mbona mbona mbona aaaaah mbona