Chorus
nishasema sitakufuata
nishasema huwezi ni mada
nishasema huna namba
nishakwambia hii game ni karata x2
verse 1 C.I
ushawahi kaa chini ukafikiria
mbona kila kitu ikifanyika unaumia
story ya maisha yako bado unajiulizia
kama msee ameishi miaka ka mia
nani alisema sitafika penya nataka
hiyo ni story hebu enda uliza godfather
temana ama achana na story ya madancer
ni kaa dem anaringa na hata hana haga
heshima ndo muhimu ticha ashasema
tumalizane sahii kuliko uanze kuhema
natukigrow to maturity ntakuwacha kilema
soo chukua life yako na uanze kuibembeleza