Chorus nishasema sitakufuata nishasema huwezi ni mada nishasema huna namba nishakwambia hii game ni karata x2 verse 1 C.I ushawahi kaa chini ukafikiria mbona kila kitu ikifanyika unaumia story ya maisha yako bado unajiulizia kama msee ameishi miaka ka mia nani alisema sitafika penya nataka hiyo ni story hebu enda uliza godfather temana ama achana na story ya madancer ni kaa dem anaringa na hata hana haga heshima ndo muhimu ticha ashasema tumalizane sahii kuliko uanze kuhema natukigrow to maturity ntakuwacha kilema soo chukua life yako na uanze kuibembeleza