Ze bato16 - Sungura mjanja lyrics

Published

0 499 0

Ze bato16 - Sungura mjanja lyrics

intro.(watu na ratiba zetu nini siunajua tunamipango mjini) VERS. hasubui na kitanzi na sindano ya ganzi sina hata jefero nawaza pata msimbazi nimechoka bala kitu cha dukani pumzi mkongoraa nawasolola kwenye kioo najifanya m kay manzii niaje jooh! siunajiu ngoma zangu zinapigwa sa nai city nahapa nimekuja bongo na show nakina fid wananishtukia na nzi wananijazia wapi natafuta chocho sina budi kukimbia eti kitaa sina mchongo nikiwa kwenye band nami najifanya mkongo ndo nimetoka toka jana wabongo msinichezee na nina pesa mingi mingi ndo wananiita pedeshee mtoto mukulu mukulu na ngai ya kongo le naongeza mukumi mingine leo nafunga pamoze duuu!wakinifuma ndo wakanitoa kasoro ikabidi nizuge me mdogo wa kitokololo nimeishi marogoro mbele yakina afande milima ya upogoro so ata atm niwaoneshe siku hizi naishi dar karibu na mlima manzese (aaah! wap) sina baiskel kiukweli namambo safi sema sijabeba hela niweke bia kwenye gras nachoma nyasi zamani nilikua ras kama bob marey ila sema tu sitaki me na swaga tena mkurugenzi wa vina nawasomaga naweza chana ata kichina (aaaaah!achakunazingua dogo) CHORUS... me super star sungura mjanja(wapii) mzee wa viwanja sijawahi kosa raha ukinikuta bar nimekaa utashangaa haa!(mara 2) VERS.. me ni star nagunia la simu za mkononi juzi namefanya show nikajifanya ras lion wakanishtukia makopo wakanirushia ikabidi niruke ukuta plomota show haija mlipa hapa nimetoka mwanza kina kid wananitafuta siunakumbuka mwaka juzi nimefanya show new york na lil weeezy bbc cnn na dw tv walitaka kunioji nikagoma tu hapa ze b siunajua gari yangu kina cent waliniibia saa yangu ya kijani obama nilimuachia yee na bush walikua wanaililia kibaoni ndipo walipo mdaka osama kati ya wanajeshi walio mkamata nami nipo we utashangaa mitakumbukwa adi kesho (aaaaa wap) dar mpaka moro inanibishia wakati we shuleni mtoro hummer nimeendesha lambogen clesa ata cash money pesa yangu nawakopesha na bonge la house wan*liita cmb kiwanda cha matishet nimemuajili jay z ruda aliomba kazi nikasema simuitaji bamedi wa bar yangu namuweka nick minaj .....ymcb kwani nini....... CHORUS(AGAIN) ....BRG..... naheshimika popote atanikienda kokote utanisikia watu wananiaminia(mara 2) CHORU(AGAIN) .....OUTRO.. HII high life muzik tambua uwepo wa steve ross juu ya hii beat ze bato b16 wht up jacob richard mbonde