Ze bato16(batony A) - MAMA MKANYE MWANAO lyrics

Published

0 354 0

Ze bato16(batony A) - MAMA MKANYE MWANAO lyrics

B SWAXX PRESIDENT IS A LIVE MY ni**a ............vers one........ Kumi na mbili hasubuhi naamka nyeee Kwanza na mushukulu mungu aksante nyeee Kwanza namshukulu mungu aksante nyeee Mala napigiwa simu na mkali nyeee Anasema b uko wapi kuna dili mzee Nasema niko geto kuna dogo namuazibu Watanzania hatuna hela nataka nivunje kibubu Navuta pazia mala masela nawachora Mmoja kavimba jicho kama wamemtonkola .....heeeeeeeeeeee... Uku ndio tunaishi sisi Ukisikia mkanye mwanao ujue wametimba mapolisi Maniga tuna saka kila siku Sme time narudi geto usiku mkali sina kitu Matozi wako busy na mademu zao Tukipita chocho wanaficha sura Si hatuna habari nao Tuna dili na maisha tuwe na pesa kibao ..............CHORUS.............. Mama mkanye mwnao Mtaani kimenuka kuna stress kibao (ukinipa tano jua ni fula nyeee) (ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee) ............vers two............... Ugumu wa maisha tumezunukwa na mungiki Usiku wa kutisha nasikia sauti ya viberiti Si dili zetu buku buku wala hatuwazagi laki Tukipiga mchongo mtu tatu mmoja an*lishwa shati Ndio maisha yetu kila siku kwenye kazi Wengine tuna tisheti kubwa kama majambazi Tunajifanya wakishua kumbe tunatokea uswazi Nilifanya kazi nipe change basiiiiiiiiiiii Matozi ...........shifre Wahuni............shifre Maniga............shire Whats the defferent Tofauti labda chakula tunacho kula Tofauti baba bungeni hauzi sura Tofauti kaka akitaka tunakula Wahuni tu kwambali anatuchora.....anatuchora Alisema ze bato nikishinda nitakutoa Maisha unayo ishi naona kama yanakuboa ..............CHORUS.............. Mama mkanye mwnao Mtaani kimenuka kuna stress kibao (ukinipa tano jua ni fula nyeee) (ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee) ...................vers three................. Mama mkanye mwanao apunguze mawenge Si tuna stress kibao nipe lonto sarange Tumechoka na kesi za maunga na mabange Wahuni tukichoka tuna vunga tujipange Mtaani kuna stori zinaendelea Eti jamaa hatufai wakati wenyewe mlimchagua Mlipewa kofia na vitenge bure Wahuni tunawachora mnavoteseka kule Huyu akifoka kijijini Huyu anafoka mjini Wananchi tunashindwa sasa tumuelewe nani Ubabe wavyeo sasa uko wazi wazi Unapewa sifa leo kesho unafukuzwa kazi Sana mama kiongozi wala baba kiongozi Kwa pesa za baba zao mjini wan*leta mapozi Madogo wakipewa mic wanaponda kaka zao Wamesahau si ndio machief tunaongea na baba zao ..............CHORUS.............. Mama mkanye mwnao Mtaani kimenuka kuna stress kibao (ukinipa tano jua ni fula nyeee) (ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee) Shukrani kwa d touchz d shabba Shukrani kwa patrino patrix matrix Shukrani kwa dvj yt pro Shukrani kwa mkurugenzi wangu poul mkude