Young Lunya - Fit lyrics

Published

0 387 0

Young Lunya - Fit lyrics

[Intro] – Quick Rocka Ha ha ha haa, introducing to you, OMG, rap [Verse 1] – Salmin Swaggz Kwenye game ningetoka zamani wangejua mi flani ila sema nyumbani walikaza Kabla hawajajua mitaani mic nilitamani like niko gizani mi nawaza Walitaka niwe rubani, not this Na kichwani mi nna miplani, not this Zile dream za akina nani zilikufa zamani maana haiwezekani like this One for the money, n***a you know Two for the show kokote we go Three for the dough na shopping k-koo Nipe beat from store you know that we blow Kila ninachokisema brother kipo Huwezi kushindana na watu people Wanaturn viatu kwenye mshiko Mi naturn to chatu kamwe sipo, back with it I feel good maana mi MC Japo story zangu hazijafika TMZ Ukiniset nalipuka kama TNT Naacha rap inalia kama PNC Kila nikitema sh** wanasema naikula beat wanataka nivute siti nikauze Mlimani City Wanajua siwezi repeat kwa maana ikitoka hit, we unataka kunicheat Ma n***a you can't fit.. Fit (repeatedly) [Hook] – Ben Pol [Verse 2] – Young Lunya Round two, nakaza miguu, sema tema sh** you know we be coming atchu Mi mtoto wa kitaa zamani sikupenda makuu Sitaki pa**port nilivyo tu nshakwenda majuu King Luffa anajua mi nafanya hivi everyday Haters wanadoubt kwamba nimetease anyway Namix flow kama vile Chizan Brain Tollywood, nikianza za kuigiza ni we JB au Ray Kigosi, nianze kuoga Coco maana bafu haitoi mikosi Niache kula ukoko nile vitu stimu sikosi Niache kwenda local niwe na Sheshe niishi kibosi Ama, nianze kupiga kopo kali baada ya kopo kali niwe na fans wa kitaa Maana hapa niko na vocal kali nipe na moto kali nile matizi ya gitaa Kujafanya wajua, tunajua kuchana what next you know about we? Kujifanya wajua mazigi na mazaga what next you know about weed? Kujifanya wajua kila demu wa mwana what next you know about Leed..? Kujifanya wanijua jua sana what next you know about me..? Fit (repeatedly) [Hook] – Ben Pol [Verse 3] – Con Boi Round three, the boy is deep Kila nnachochana kwenu is like food to eat Kila nnachoandika kwenu is like book to read Na hiki kiatu nimevaa it's not easy to fit Easy to speak, kwa mimi it's not easy to be Hata kiti nimekaa is not easy to seat Hata miwani nimevaa is not easy to see Na hata hapa tumefika it's not easy to reach Yeah, so you can see that, OMG that's we, yeah we keepin' it real you lame stay back Don't believe that? Weka your best team wafanye remix in this track Uone who's wack, who's real who's not, who could k** this track Japo tunafanya peace track, ila wenye upeo mdogo watahisi tunafanya diss track Kuna siku nilikua nawaza, nitapata kitu au najipumbaza Ila nikagundua ishu kuendelea kukaza Kuepuka upotofu na uchafu niliojijaza Maana kila rapper anataka kujiona father Mara kila charter inahitaji kufika further Wengi wanatamani kuchana like no other Hii inaitwa rap kwa wanaopenda kipaza, n***a Fit (repeatedly) [Hook] – Ben Pol