Young G - Pigo Takatifu lyrics

Published

0 228 0

Young G - Pigo Takatifu lyrics

(Verse 1) – Salmin Swaggz Sihitaji kukuaminisha kua lini nilianza game I go by the name “rappers couldn't ever be the same” Ila therapy ya rap got them worship in my name But these ni**as so lame couldn't notice I became Kama stick kwenye kick nikiblow kama Hillary-Charles Zikitick kwenye koo, mpunga-dinary Mars wanakwenda tunarudi kama binary-codes, Nnapopenda wala sizugi… Kwenye street nina mbegu bila maji zinamea mea mea Safisha kichwa na tumbo kama wana-diarrhoea Mi ni star iliyofifia, never mind what I flare Wanastare, but I care about the share that I bare Oh yeah, hii game mi nabomoa na ku-repair Unahitaji mafunzo kama manual ya MP3 player Wanaibuka siku mbili kesho ya tatu wanapotea Nani Ma**aburi? Mtaani wanavyojua mi ni mayor I'm fly sina mbawa but I'm better that I'm never been Hunioni kwenye power nenda katafute better screen Sina couple chains on my neck, put that cash on my deck Blow it up, for ya better own sake, ni**a (Chorus) – Chozi (Wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali Wote macho kodo Mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali Yaani wote shobo) x2 Oh nana, Oh nanana nananananana x3 Hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatifux2 (Verse 2) – Young G Nimeota Yesu anachana dunia imebarikiwa Tapeli kauza kitu feki, naye kabambikiwa Nishawasoma nasoma wanachojua Narudi nyuma mi na-score tena hatua kwa hatua, ah I'm so busy busy ka Biggy na DVB Mgongoni duffle bag ka brands za Weezy-Wee Nadunda kavu mdomoni mwa Nicco-Noma Hii mistari na michano shuleni wenzako wanaisoma (I'm self made, you just affiliated Nachana sana mpaka naona kama vipi mbele Yap yap, flow ziko hardcore, Young Genius, a.k.a The Animal,) x2 (Chorus) – Chozi (Wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali Wote macho kodo Mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali Yaani wote shobo) x2 Oh nana, Oh nanana nananananana x3 Hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatifu x2 (Verse 3) – Hood C Mood, inapanda mfano wa simu Takwimu zinanijaa nitoe kilicho adimu Nasafisha mtaa, uwe poa Naung'arisha kwa kuweka mataa nifute doa Kila nnapofika nashika naacha baraka Na hivi nnavyosikika uhakika naondoa shaka Mpaka uliyeketi nakupa cheti original Na yako ticket u-seti utajiri cash you know Kaa hapa kwingine utadanganyika Maana kila vocal ni tamu nikipachika Sitaki nyodo kwa kuwa sijakamilika Na sivai modo nikakosa kuheshimika Dunia hadaa aah ulimwengu shujaa, wanasema Hood C nabii niliye mwema Kisa ninawapatia kusipo mategemeo Jamaa toka Lunduno na mfumo wa vichocheo (Chorus) – Chozi (Wanapagawa wanaponiona niko juu kama serikali Wote macho kodo Mi naona sawa wanaponiona niko juu kama serikali Yaani wote shobo) x2 Oh nana, Oh nanana nananananana x3 Hili kwao ndo pigo takatifu, hakuna bifu ndo pigo takatifu x2 (Outro) – Young G Yeah, iite G-mix, Noma Records, Hood C, Young Genius, Chozi Sebuyu, Nicco, Salmin Swaggz, iite G-Mix original, Noma Records baby, Kalulete, aah One Nation, One Love