Wyre - Chuki lyrics

Published

0 832 0

Wyre - Chuki lyrics

Na na na na ... Verse 1 Ni sababu gani mwanitenda hivi Uwongo mwanena kunihusu mimi Hamnifahamu hamjui Chenye nafanya maishani Mwangu nyumbani Mwangu nyumbani Mijidai eti nyie marafiki Kumbe nia zenu zilikuwa kundi Kunitenganisha na mpenzi Wa roho yangu na kuniacha Mashakani, taabani Chorus Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani Verse 2 Mambo yenu mi sishughuliki nayo Mnavyoishi mimi sina hoja nayo Kinachonihusu si lazima Mkifahamu na kushinda Mkipiga domo Mkipiga domo Mlichotenda kwangu kweli hakifai Kiwango cha unchungu mlinipa yaani Sina heshima kwenu tena Ukuta wa chuki mlijenga Kati mi nanyi Kati mi nanyi Chorus Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani Bridge Na na na na Ni shida kuamini yaani Na na na na Kiwango cha uchungu mlionipa Na na na na Heshima kwenu mimi sina tena Na na na na Basi chuki ndio mimi nahisi Chorus Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani Ni chuki, ndio na hisi Nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi Bila matokeo yaani