Intro You know, um Keep away from people who belittle your ambitions Small people always do that. But the really great make you feel that you too can become great Turn it up! Come on! Chorus I swear, mimi, siachi (I'm living my dream) I swear, mimi, siachi (And I'm doing my thang) I swear, mimi, siachi (Nazidi kusonga mbele) I swear, mimi, siachi (Nasonga mbele hadi kilele) Verse 1 I'm a different seed of an emcee Kids in the PJs look up to me I don't blaze incense For my sentence to make sense Still I'm on fire cooking raw like frying pan Rhymes so path, ka the late Big Pun Hawa masafara wanakunjia nani sura Na hao hao ndio walipiga kura, fura! Kutoka ndoto za ku-stare kwa blackboard Eti ndio mchoro ya kufly abroad Tulikula vitabu na bado tunauma taabu Nagaagaa na upwa na bado nala wali mkavu Maajabu ya binabadamu nimeona mengi kushida ukuta za bafu So nalala jicho moja wazi ka Illuminati Naanza na Vitz juu lengo ni kubuy Bugatti Siezi kaa bila ganji Na niko na kipaji Wakibonga mi nasonga Wakiswish mi naishi Wakidiss mi nadish Wakinuna mi nanona Ye ye Chorus I swear, mimi, siachi (I'm living my dream) I swear, mimi, siachi (And I'm doing my thang) I swear, mimi, siachi (Nazidi kusonga mbele) I swear, mimi, siachi (Nasonga mbele hadi kilele) Verse 2 Hiphop nation Wameheap hope kwa Reverbnation Wengine wanakata maji kaa Moses na chupa za Tiptop Niko so pissed off Naeza wanyorea na urea kutoka kwa roof top Hiyo ndio Lil Wayne anaitaga “Make It Rain”? Generation Imekuwa brainwashed Na stuff wanawatch Wenegine ni kaa ubongo wanapelekaga car wash ama dobi Graduates kwa mitaa za Nairobi wako hoi Juu kwa CV rioting ndio hobby Mahuslar wanatembea na zaburi Juu hii mitaa imekuwa kaburi Sauti yangu kwenye santuri Kujenga jamii kaa Bamburi Akili si nywele, ni mali Yaliyopita si ndwele, ni hali Utamu wa shubiri ni ukali Sijali hugeuka nigalijua Kausha nyasi bro lingali jua Chorus I swear, mimi, siachi (I'm living my dream) I swear, mimi, siachi (And I'm doing my thang) I swear, mimi, siachi (Nazidi kusonga mbele) I swear, mimi, siachi (Nasonga mbele hadi kilele) Verse 3 Media ilipatia Jaguar airplay Akaamua ku-buy airplane Meanwhile the rap game is so f**ed up Hata unaeza give up But not me Me niko mbele kaa kitambi ya MP Nyi mko nyuma ka era ya BC, MC Kureverse cap Haikufanyi Pac I stay persistent like a dry cough I can't stop even when I hit the top Yea, word up! Chorus I swear, mimi, siachi (I'm living my dream) I swear, mimi, siachi (And I'm doing my thang) I swear, mimi, siachi (Nazidi kusonga mbele) I swear, mimi, siachi (Nasonga mbele hadi kilele) Chorus I swear, mimi, siachi (I'm living my dream) I swear, mimi, siachi (And I'm doing my thang) I swear, mimi, siachi (Nazidi kusonga mbele) I swear, mimi, siachi (Nasonga mbele hadi kilele)