Wudz - Eldoret Rap Kings lyrics

Published

0 297 0

Wudz - Eldoret Rap Kings lyrics

Verse 1[Omondi Ochuka] Mvua ikiangukia inscriptions kwa garden Constellations na sticker za amniotic tape Coded bars, me hu-feel ni ka universe ilimbau kwa hii pen Niko juu ya script So vitu verbal, methali zita-narrate Onion bulbs, nawacha film na tears ziko darkened Idea kwangu ni clinical So najichanja ulimi na mind Time kifuniko ya jeneza ikizibwa at night Wino inagather bahari na stars pamoja na light Conditional future Mikono ziliandikwa na forbidden gaps Hesabu za body ni sahini insha haziwezifichua Kila nikitazama space Nawacha voids na riddle ziko broken Voids a**ulym, excursions maneno yanaanzia novel Msuko? Lonliness iko deserted kwa kisima haikuchimbwa Nahitaji kudunga hii verse ball Kabla macho na hidden thoughts kutazama platform Rong bondia na haramia, ma-mermaid na piracy symbols Hii spit ni delicate fires Vyumba vya maiti utapata doggy na vichwa tatu kwa gate Nakariri geometry ya usiku zilizikwa na gradient Hekaya za aliyepoteza kichwa kama Johnny the Baptist After d**h, uliza poetry ya Christina Rossetti Booth iko paged, nangoja moaning nyuma ya curtains zikiwa half-drawn Nafinya alfabeti vibaya, dialogues zinavuja kama fikra nikira ikitazama p**n Wudz |Hook| Still born Baado tuna-decipher inspiration kwa dome Stillborn Baado tuna-deliver message ilifichwa kwa envelope Hoping siku moja tutazaliwa once more Verse 2|MC Spook| Hizi ni ideas ziko stillborn Knowledge not yet torn Voices hujawahiskiza ona song Kumbukumbu za torati zilimispeliwa kwa hotuba Shairi zenye zimepotea kwa hotuba Hizi ni maarifa ndani ya damu nyeusi Ziliniacha na arudhi kwa shairi nikikariri Nafufua Zaburi zilianguka kwa deaf ears Kalamu zetu Ziko poisoned Pictures zili-worth a thousand words Hizi ni taswira tunajenga Mentalities zetu zili-evaporate kwa mtaa Kutafuna ukweli nilivunja ukweli kwa vitabu za hitoria Bahati yangu ilikuwa kumwandikia mungu barua Kwa vitabu vya maisha Tulichambua vitu nyingi Upendo na sahani ya agony Tulizaliwa kwa dunia ya mviringo Penye fallen angels waliangushwa juu ya maringo Beauty ni inborn sio kukata shingo Spirit yangu ni inborn sio historia na bayolojia Hakuna siku Kama hamwahikuwa nice natema tembe na visu kwa msitu ya akili mlikata na visu Outro |Wudz| Cla**ic... Yaw... Still born bado na'exhale life-force kwa lungs Still born bado nascript code ya ku'save ma'thugs Born a king, lakini naishi ka mtumwa Na si ati niliacha mila but nilisukumwa I was born wise But school taught me otherwise Future ni uncertain ka fate ya stillborn Valley ya shadow of d**h imejaa cable ya silicon