Wawesh Mjanja - Zima Mataa lyrics

Published

0 263 0

Wawesh Mjanja - Zima Mataa lyrics

Intro: Hey hey hey zima mataa Zima mataa alright alright Si mzime mataa Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa Uuuuuh zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa Uuuuuh zima mataa alright yeah Zima mataa si muzime mataa Verse 1: Naomba twende taratibu Baby mi nitakutibu Kila swali mi nitalijibu baby Napenda hio tamba yako Sambamba na pamba zako Sasa nipe mkono wako Njoo karibu nami, oooooohh Hakika uturi wako Unanivuta mimi kwako Nimekungojea wewe Njoo mpenzi twende kwangu Chorus: Uuuuuh zima mataa [Shyrah] Songa karibu na mimi washa mshumaa [Nadu] Uuuuuh zima mataa Njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa (x2) Verse 2: Njoo karibu nami Na wala usiogope honey Usiwajali honey Naomba nikutibu baby Puuza yote around you ila me Naomba nikupe mapenzi baby Mi nawe bila stress Kuja nikuchapie baby Wajinga nishawapa ilani Tulia nikupemapenzi baby Outro: Uuuuuh zima mataa [Shyrah] Songa karibu na mimi washa mshumaa [Nadu] Uuuuuh zima mataa Njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa (x2)