Wawesh Mjanja - Zilizopendwa lyrics

Published

0 478 0

Wawesh Mjanja - Zilizopendwa lyrics

[intro] Nipe mapenzi Nitahadharishe Huba hakika Mapenzi yapo Ama hamna Chorus: Nakupenda Ka zilizopendwa Kama bango Rumba Na benga x 2 Verse 1: Rumba wewe si mtumba Ntakutunza kama kidole cha gumba Kisha nikuweke ndani ya nyumba Ntakufunga kiunoni Ntakuweka moyoni Penzi letu hakika halitotoweka Chorus: Nakupenda Ka zilizopendwa Kama bango Rumba Na benga x 2 Verse 2: Bango Wewe ni mtamu Njoo tucheze wawili kwa nidhamu Taratibu wewe ni wangu kamili Ntakufunga kiunoni Ntakuweka moyoni Penzi letu hakika halitotoweka Chorus: Nakupenda ka zilizopendwa Kama bango Rumba Na benga x 2 Verse 3 Wewe binti nakupenda kama benga Utamu wako Uliniahidi hutanilenga Hutanitenga eeei eiii Wewe binti ooh nakupenda kama benga [outro] Mapenzi ni nadra siku hizi Kuna matapeli na waizi Lakini wewe ni wangu saa hizi Na wimbo hii ni yako kabla hujapata usingizi