Wawesh Mjanja - Siji lyrics

Published

0 277 0

Wawesh Mjanja - Siji lyrics

AAAAH MPENZIIII, NAJA NYUMBANI, NIPE DAKIKA MBILI, LAKINI NGOJA AAAAH NGOJA NGOJA, MBONA WANITOSHA, BASI SIJI HOME, LEO SKUJI HOME, BASI SIJI HOME, BASI BASIII INTRO PEWA MATEMBEZI TOT BY TOT BABY SI MIND BORA MI NI FLY SIWEZI MATEMBEZI MPAKA JOB, BASI KUREWIND YALE YOTE ULOSEMA, BADO ENGEZA MPENZI SIWEZI ELEWA, BADO NINANUNA, BADO MIE NASKUMA CV YANGU NYUUUMA, FIKIRA NDOTO KULIA KUSHOTO VERSE 1 SITAKI KWENDA HOME, SITAKI KUZUBAA,SIWEZI ENDA HOME,SIWEZI KULALA NDIO MAANA MAFEGI MZINGA NIWEZE KUDORO NKIKUSORO SITAKI KWENDA HOME ,SITAKI KUZUBAA,SIWEZI ENDA HOME,SIWEZI KULALA NDIO MAANA MAFEGI MZINGA NIWEZE KUDORO NKIKUSORO VERSE 2 WANIAMBIA RUDI NYUMBANI (FAUZ RUDI NYUMBANI) TUREJEE TUSIBISHANE (UUU TUSIKIZANE) NA WE (NA WEE) KIPENDACHO MOYO SI DAWA INGAWA BADO NINANUNA BADO MIE NASKUMA CV YANGU NYUMA, FIKIRA NDOTO KULIA KUSHOTO CHORUS SITAKI KWENDA HOME, SITAKI KUZUBAA, SIWEZI ENDA HOME, SIWEZI KULALA, NDIO MAANA MAFEGI MZINGA NIWEZE KUDORO NKIKUSORO SITAKI KWENDA HOME, SITAKI KUZUBAA, SIWEZI ENDA HOME, SIWEZI KULALA NDIO MAANA MAFEGI MZINGA NIWEZE KUDORO NKIKUSORO BRIDGE LIDDOS KUMEJAAA MACHO YATAZAMA NIKITAKA KUSAHAU MACHO YAKO YA MATANGA WAREMBO NI WENGI NA BADO NI WEWE NIMEKREKI LIDDOS KUMEJAAA MACHO YATAZAMA NIKITAKA KUSAHAU MACHO YAKO YA MATANGA WAREMBO NI WENGI NA BADO NI WEWE NIMEKREKI STAKI KWENDA HOME STAKI KWENDA HOME SITAKI KUZUBAA,SIWEZI ENDA HOME,SIWEZI KULALA, NDIO MAANA MAFEGI MZINGA NIWEZE KUDORO NKIKUSORO SITAKI KWENDA HOME