Wawesh Mjanja - Penzi Sumu lyrics

Published

0 1057 0

Wawesh Mjanja - Penzi Sumu lyrics

Verse 1: Kama ni kuthibitisha penzi langu kwako Si hoja Sheria nimevunja zote Au hizi hisia tutupilie mbali Ni mara Ngapi tumeshajaribu Or maybe wa faa uwache kiwa kipofu Twashikilia mwisho wa kamba Tuwache huu mchezo Uamuzi ni wako Sema nami... baby.. Chorus: Nikuote nikuwaze nijone rohi utajuta songa mbele Lakini ni kikuona ninashindwa naumia roho kweli utajuta yote.
nazama Kwenye penzi nataka Sipati nione me mnyonge hapa Nakuhitaji Uniambie hii kazi si ya bure Verse 2: Kama ni maongeo ya wasiotuhusu lazima mitihani zije Niambie tu kinachokuzia uwe wangu Nitaipiganie penzi Or maaybee..wafaa ufungue macho uone Hakuna chaweza kuzuia Penzi ni letu na wakati ni wetu Sema nami baby.... Chorus: Bridge: Ni mimi na wewe.. Na ni wewe nataka Niamini sitakuacha,noo! baby.. Nikuoneshe vipi Siniache mimi hapa nikiugua Nikiumia.. Sema nami baaaby...