Wawesh Mjanja - Naona lyrics

Published

0 352 0

Wawesh Mjanja - Naona lyrics

Interlude: Badaa ya giza, naona, naona Vers 1: Dunia, ya zunguka Ukianguka utaamuka, tulia, vumilia Tambua kilakitu kina mwisho (naona giza) lime kwisha Chorus: Badaa ya giza, mwangaza, nauona Badaa ya giza, mwangaza, nauona Unatokeza, unapenyeza, unapendeza Unatokeza, unapenyeza, unapendeza Vers 2: Siku njema yajulikana mapema Sita, sita kukuita ukipita Mlanawe hafinawe Bado nikonawe (naona giza) lime kwisha (kwisha, kwisha), nami sita sahau Bridge: Mawingu ya katanda Na mvua ikaanza Na doruba ika zidi Na machozi haya ishi Chorus: Badaa ya giza, mwangaza, nauona Badaa ya giza, mwangaza, nauona Unatokeza, unapenyeza, unapendeza Unatokeza, unapenyeza, unapendeza