Wawesh Mjanja - Mpenzi Mpya lyrics

Published

0 242 0

Wawesh Mjanja - Mpenzi Mpya lyrics

[intro] Niko tayari (the department) Mahaba baby Kukuburudisha baby Neemo Mjanja Taamike Wasemaje Rap intro: Kwenye shamba la edeni mwenzeni nishajikuta Nimejaribu kutoka na moyo unagonga ukuta Wahh nishalewa mapenzi ushapenya moyo wangu (tiriria ta tiririra) Tanakali za sauti ya mdundo wa yangu moyo wacha waniite mchoyo Kukusambaza balaa Beluwa siri ishafichuka saka kusaka kule nishapata mteule atakae niwezesha nchore chini namba nane (tiriria ta tiririra ta tiririra) Neemo nijazie nijazie Verse 1: Niwengi sasa nimeshapitia Lakini hakuna ambae amenivutia Hisia za mapenzi amenifungua macho Mio sio msichana tena bali mke mzima (mara ya kwanza) Nimeshaitikia Nakubali kupendwa Nawe pekee milelee Chorus: Kichuna we ndio nahitaji Baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi Penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa Kichuna we ndio nahitaji Baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi Penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa Verse 2: Tazama penzi lako lanichangamsha Tuulia kwangu ni kukuburudisha Leo ni siku yako Niko tayari kuwa mpenzi mpya Nipate hisi haya mapenzi mapya Chorus x2 Nimeshaitikia nakubali kupendwa nawe pekee nawe pekee milelee Kichuna we ndio nahitaji baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa Kichuna we ndio nahitaji Baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi Penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa Kichuna we ndio nahitaji Baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi Penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa Kichuna we ndio nahitaji Baby we ni zawadi Naomba usiende mbali Acha maswali mengi Penzi langu ni bichi Nikupe kupe penzi mpyaaa