Wawesh Mjanja - Mfalme Wa Mapenzi lyrics

Published

0 719 0

Wawesh Mjanja - Mfalme Wa Mapenzi lyrics

Verse 1: Uuuui aaaa yeah yeahh malaika zangu zainuka Kila anaponigusa pumzi nazo mi zaniishia Kila anaponidadisia Vile ata nipenda, vile ata niroga, vile ata niliza, vile ata (uui) vile ata nipenda, vile ataniroga, vile ataniliza vile ata …. anaponibusu (uuuui uuui) Anaponilaza chini (iiiii iii) Na anapo nipapasa (aaah aaai) Ni dhahiri shahiri Chorus : Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye anifaaye Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye anifaaye Verse 2: Yuafanya kwa utaratibu Vioja vyamaliza nguvu Sina budi ila kumruhusu Anipe sumu Anaponibusu (uuuui uuui) Anaponilaza chini (iiiii iii) Na anapo nipapasa (aaah aaai) Ni dhahiri shahiri Chorus : Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye Anifaaye Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye anifaaye Bridge: Niwie radhi Si ati ni mara ya kwanza Kufanya mapenzi Lakini bila shaka Hamna mwingine kama yeye Chorus: Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye anifaaye Nimempata mfale wa mapenzi Hamna mwingine akaribiae mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye anifaaye Outro: Anaponibusu (uuuui uuui) Anaponilaza chini (iiiii iii) Na anapo nipapasa (aaah aaai) Ni dhahiri shahiri