Wawesh Mjanja - Kasha lyrics

Published

0 386 0

Wawesh Mjanja - Kasha lyrics

INTRO KAMA UKO FITI FITI FITI YEAH YEAH YEAH SALAMU HAZITOSHI WOWO WO YEAH VERSE 1 WAITWA NANI WAISHI WAPI, KIPUSA KAMA WEWE WANIPAGAWISHA (NIMEKUONA SIKU NYINGI TENA HURINGI) WEWE UKO BOMBA HUTISHWI NA SHILINGI WAITWA NANI WAISHI WAPI, KIPUSA KAMA WEWE YAPASWA KUWA NAMI, WAITWA NANI WAISHI WAPI, SIPENDI KUROPOKA USIJE KATOROKA CHORUS SASA MAMBO FITI FITI FITI SANA SALAMU HAZITOSHI LAZIMA NITAKUJA NA KASHA KASHA KASHA LANGU VERSE 2 NAJUA UNADHANI MI NICHIZI NI DAKIKA THELATHINI HUJASEMA KITU(MBONA)SAMAHANI NAITWA POZI NA SI MCHOKOZI NINA SWALI UNAISHI WAPI UNAITWA NANI KIDOSHO KAMA WEWE (KAMA WEWE)UNAFAA (UNAFAA)KUTABASAMU,UKINUNA MI NANUNA UKICHEKA MI NACHEKA USIPONIPA NAMBA MI NTAKUFUAATA(NTAKUFUAAATA) CHORUS SASA MAMBO FITI FITI FITI SANA SALAMU HAZITOSHI LAZIMA NITAKUJA NA KASHA KASHA KASHA LANGU X2 BRIDGE VIPI UNGEKUWA BIBI INGEKUWA VIPI INGEKUA MIMI SISI TUNGEISHI BILA UBISHI NA MAPENZI HALISII WEWE NA MIMI TUWE BWANA NA BIBI CHORUS SASA MAMBO FITI FITI FITI SANA SALAMU HAZITOSHI LAZIMA NITAKUJA NA KASHA KASHA KASHA LANGU X 3 KAMA UKO FITI FITI FITI YEH YEH YEAH SALAMU HAZITOSHI WOWO YEA