Wawesh Mjanja - Huwezi Jua lyrics

Published

0 244 0

Wawesh Mjanja - Huwezi Jua lyrics

[intro] Mhhhhh Huwezi jua ulicho nacho Nataka ufungue macho Verse 1: Ulisema ni mimi pekee Nikakupa Moyo wangu (si mulikua na ndoto kubwa)na (raha mstarehe )na Maisha milele mpenzi mimi na yeye (kwanini) Sielewi Kwanini (nieleze) Chorus: Mapenzi chanzo cha raha Mapenzi chanzo cha diki Mapenzi chanzo cha raha Mapenzi dhiki x2 Verse 2: Uliniacha mashakani Gizani Ukatoweka Bila sababu (na vile mlikua na ndoto kubwa na ataka umsamehe) Na siwezi rudi tena mi nishasonga mbele (kwanini) sirudi nyuma (kwanini) nimechoka Chorus: Mapenzi chanzo cha raha Mapenzi chanzo cha diki Mapenzi chanzo cha raha Mapenzi dhiki x2 Bridge: Mhhh mhhh mhhhh Huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee Nataka ufungue macho nikuelezee Huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee Nataka ufungue macho nikuelezee Huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee Nataka ufungue macho nikuelezee